Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ekari
1 Samweli 14 : 14
14 Na uuaji huo wa kwanza walioufanya Yonathani na mchukua silaha zake, ulikuwa kama watu ishirini, katika eneo la kama nusu ya kiwanja kiwezacho kulimwa katika siku nzima.
Isaya 5 : 10
10 ⑯ Kwa maana shamba la mizabibu la eka kumi litatoa bathi moja tu, na homeri ya mbegu itatoa efa tu.
Leave a Reply