Biblia inasema nini kuhusu Ehud – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ehud

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ehud

1 Mambo ya Nyakati 8 : 6
6 ⑬ Na hawa ndio wana wa Ehudi. (Hao ndio wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Geba; nao wakawachukua mateka mpaka Manahathi;

Mwanzo 46 : 21
21 Na wana wa Benyamini; Bela, na Bekeri, na Ashbeli, na Gera, na Naamani, na Ehi, na Roshi, na Mupimu, na Hupimu, na Ardi.

Hesabu 26 : 38
38 ⑦ Na wana wa Benyamini kwa jamaa zao; wa Bela, jamaa ya Wabela; na wa Ashbeli, jamaa ya Waashbeli; wa Ahiramu, jamaa ya Waahiramu;

1 Mambo ya Nyakati 8 : 1
1 ⑫ Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu;

1 Mambo ya Nyakati 8 : 4
4 na Abishua, na Naamani, na Ahoa;

1 Mambo ya Nyakati 8 : 7
7 na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi.

1 Mambo ya Nyakati 7 : 12
12 Tena Shupimu, na Hupimu, wana wa Iri; na Hushimu, wana wa Aheri.

1 Mambo ya Nyakati 7 : 10
10 Na wana wa Yediaeli; Bilhani; na wana wa Bilhani; Yeushi, na Benyamini, na Ehudi, na Kenaana, na Zethani, na Tarshishi, na Ahishahari.

Waamuzi 3 : 16
16 Ehudi alijifanyia upanga uliokuwa na makali kuwili, urefu wake ulipata dhiraa moja; akaufunga huo upanga ndani ya nguo yake katika paja lake la mkono wa kulia.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *