Biblia inasema nini kuhusu Dhambi (2) – Mistari yote ya Biblia kuhusu Dhambi (2)

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Dhambi (2)

Kutoka 16 : 1
1 Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.

Kutoka 16 : 2
2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung’unikia Musa na Haruni, huko barani;

Kutoka 16 : 36
36 Hiyo omeri ni sehemu kumi ya efa.

Hesabu 26 : 64
64 Lakini katika watu hao hapakuwa na mtu hata mmoja wa wale waliohesabiwa na Musa na Haruni kuhani; waliowahesabu wana wa Israeli katika bara ya Sinai.

Ezekieli 30 : 15
15 Nami nitamwaga ghadhabu yangu juu ya Sini, ngome ya Misri, nami nitakatilia mbali wingi wa watu wa No.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *