Biblia inasema nini kuhusu da vinci code โ€“ Mistari yote ya Biblia kuhusu da vinci code

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia da vinci code

Wakolosai 2 : 8
8 โ‘ฉ Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.

1 Wakorintho 11 : 1 โ€“ 2
1 โ‘ค Mniige mimi kama mimi ninavyomwiga Kristo.
2 Basi nawasifu, kwa sababu mmenikumbuka katika mambo yote, nanyi mmeyashika yale mapokeo vile vile kama nilivyowatolea.

2 Wathesalonike 2 : 14 โ€“ 15
14 aliyowaitia ninyi kwa Injili yetu, ili kuupata utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo.
15 Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa barua yetu.

2 Wathesalonike 3 : 6
6 โ‘  Ndugu, tunawaagiza katika jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu kutoka kwa kila ndugu aendaye bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *