Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Colt
Mathayo 21 : 2
2 Nendeni katika kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwanapunda pamoja naye; wafungueni mniletee.
Mathayo 21 : 5
5 ⑦ Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwanapunda, mtoto wa punda.
Mathayo 21 : 7
7 wakamleta yule punda na mwanapunda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.
Marko 11 : 2
2 akawaambia, Nendeni mpaka kile kijiji kinachowakabili; na katika kuingia ndani yake, mara mtaona mwanapunda amefungwa, asiyepandwa na mtu bado; mfungueni, kamleteni.
Yohana 12 : 15
15 Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda.
Leave a Reply