Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Chungu
Mithali 6 : 8
8 Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.
Mithali 30 : 25
25 Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto.
Leave a Reply