Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Chelubai
1 Mambo ya Nyakati 2 : 9
9 โง Tena wana wa Hesroni aliozaliwa; Yerameeli, na Ramu, na Kalebu.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 18
18 Basi Kalebu, mwana wa Hesroni, akazaliwa wana na mkewe Azuba, na Yeriothi, na hawa ndio wanawe wa kiume; Yesheri, na Shobabu, na Ardoni.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 42
42 Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
Leave a Reply