Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Chawa, Tauni ya
Kutoka 8 : 19
19 ⑳ Ndipo wale waganga wakamwambia Farao, Jambo hili ni kidole cha Mungu;[10] na moyo wake Farao ukawa mgumu asiwasikize; vile vile kama BWANA alivyonena.
Zaburi 105 : 31
31 ⑬ Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa katika nchi yao yote.
Leave a Reply