Biblia inasema nini kuhusu Binui – Mistari yote ya Biblia kuhusu Binui

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Binui

Nehemia 7 : 15
15 Wana wa Binui, mia sita arubaini na wanane.

Ezra 2 : 10
10 Wazawa wa Binui, mia sita arubaini na wawili.

Nehemia 12 : 8
8 ⑫ Tena Walawi; Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa juu ya shukrani, yeye na ndugu zake.

Nehemia 3 : 24
24 Baada yake Binui, mwana wa Henadadi, alitengeneza sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka ugeukapo ukuu, na mpaka pembeni.

Nehemia 10 : 9
9 Na Walawi; ndio, Yeshua, mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli;

Ezra 8 : 33
33 Hata siku ya nne, hizo fedha na dhahabu na vile vyombo vilipimwa ndani ya nyumba ya Mungu, vikatiwa mikononi mwa Meremothi, mwana wa Uria, kuhani; na pamoja naye alikuwapo Eleazari, mwana wa Finehasi; na pamoja nao Yozabadi, mwana wa Yeshua, na Noadia, mwana wa Binui, Walawi;

Ezra 10 : 30
30 Na wa wazawa wa Pahath-Moabu; Adna, na Kelali, na Benaya, na Maaseya, na Matania, na Besaleli, na Binui, na Manase.

Ezra 10 : 38
38 Na wa wazawa wa Binui; Shimei,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *