Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beth-Zuri
Yoshua 15 : 58
58 Halhuli, Beth-suri, Gedori;
1 Mambo ya Nyakati 2 : 45
45 Na mwana wake Shamai alikuwa Maoni; na Maoni alikuwa babaye Beth-suri.
2 Mambo ya Nyakati 11 : 7
7 Beth-suri, Soko, Adulamu,
Nehemia 3 : 16
16 โช Baada yake akajenga Nehemia, mwana wa Azbuki, mkuu wa nusu ya mtaa wa Beth-suri, mpaka mahali paelekeapo makaburi ya Daudi, na mpaka birika lililofanyizwa, na mpaka nyumba ya wapiganaji.
Leave a Reply