Biblia inasema nini kuhusu Beth-Arbel – Mistari yote ya Biblia kuhusu Beth-Arbel

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beth-Arbel

Hosea 10 : 14
14 ② Kwa sababu hiyo fitina itatokea kati ya watu wako, na ngome zako zote zitaharibiwa, kama vile Shalmani alivyoharibu Betharbeli, katika siku ya vita; mama akavunjikavunjika pamoja na watoto wake.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *