Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beth-Aramu
Yoshua 13 : 27
27 ⑤ tena katika bonde, Beth-haramu, na Bethnimira, na Sukothi, na Safoni, hiyo iliyosalia ya ufalme wa Sihoni mfalme wa Heshboni, yaani mto wa Yordani na kingo zake, mpaka mwisho wa bahari ya Kinerethi ng’ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki.
Hesabu 32 : 36
36 na, Beth-nimra, na Beth-harani; miji yenye maboma, na mazizi ya kondoo.
Leave a Reply