Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bered
Mwanzo 16 : 14
14 Kwa hiyo kisima kile kiliitwa Beer-lahai-roi.[4] Tazama, kiko kati ya Kadeshi na Beredi.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 20
20 ③ Na wana wa Efraimu; Shuthela, na mwanawe huyo ni Beredi, na mwanawe huyo ni Tahathi, na mwanawe huyo ni Ekada, na mwanawe huyo ni Tahathi;
Hesabu 26 : 35
35 ⑤ Na wana wa Efraimu kwa jamaa zao; wa Shuthela, jamaa ya Washuthela; wa Beredi, jamaa ya Waberedi; wa Tahathi, jamaa ya Watahathi.
Leave a Reply