Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beori
Mwanzo 36 : 32
32 Bela wa Beori alimiliki katika Edomu, na jina la mji wake ni Dinhaba.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 43
43 Basi hawa ndio wafalme waliotawala katika nchi ya Edomu, kabla hajatawala mfalme yeyote juu ya wana wa Israeli; Bela, mwana wa Beori; na jina la mji wake ni Dinhaba.
Hesabu 22 : 5
5 ⑳ Basi akatuma wajumbe kwa Balaamu mwana wa Beori, hadi Pethori, ulio kando ya Mto, mpaka nchi ya wana wa watu wake, kwenda kumwita, akisema, Tazama, kuna watu waliotoka Misri; tazama, wanaufunika uso wa nchi, tena wanakaa kunikabili mimi.
2 Petro 2 : 15
15 wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;
Leave a Reply