Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Belial
Kumbukumbu la Torati 13 : 13
13 Kumetoka katikati yako mabaradhuli kadha wa kadha, wamewapotoa wenyeji wa mji wao, wakisema, Twendeni tukaabudu miungu mingine msiyoijua;
2 Wakorintho 6 : 15
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari?[1] Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
Leave a Reply