Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bebai
Ezra 2 : 11
11 Wazawa wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.
Ezra 8 : 11
11 Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.
Ezra 10 : 28
28 Na wa wazawa wa Bebai; Yehohanani, na Hanania, na Zakai, na Athlai.
Nehemia 7 : 16
16 Wana wa Bebai, mia sita ishirini na wanane.
Nehemia 10 : 15
15 Buni, Azgadi, Bebai;
Leave a Reply