Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Baraza
Matendo 15 : 29
29 yaani, mjiepushe na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na nyama zilizosongolewa, na uasherati. Mkijizuia na hayo, mtafanya vema. Wasalamu.
2 Samweli 16 : 20
20 Kisha Absalomu akamwambia Ahithofeli, Haya, toa ushauri wako, tufanyeje.
2 Samweli 17 : 15
15 Ndipo Hushai akawaambia Sadoki na Abiathari, makuhani, Ahithofeli amempa Absalomu na wazee wa Israeli mashauri kadha wa kadha; na mimi nimetoa mashauri kadha wa kadha.
Leave a Reply