Biblia inasema nini kuhusu Badger – Mistari yote ya Biblia kuhusu Badger

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Badger

Kutoka 25 : 5
5 na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo,[27] na miti ya mjohoro,

Kutoka 26 : 14
14 ② Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.

Kutoka 35 : 7
7 na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, ngozi za pomboo na mbao za mshita;

Kutoka 35 : 23
23 ② Tena kila mtu aliyeona kwake nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri, singa za mbuzi, ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu na ngozi za pomboo, akavileta.

Kutoka 36 : 19
19 ⑲ Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.

Kutoka 39 : 34
34 na kifuniko chake cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;

Hesabu 4 : 6
6 ② kisha ataweka juu yake ngozi laini ya mnyama[5] za kulifunikia, na kutandika juu yake nguo ya rangi ya samawati tupu, kisha watatia hiyo miti yake.

Hesabu 4 : 8
8 nao watatandika juu yake nguo ya rangi nyekundu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo[6] za kuifunikia, na kuiweka ile miti yake.

Hesabu 4 : 12
12 kisha watavitwaa vile vyombo vyote vya utumishi wavitumiavyo katika mahali patakatifu, na kuvitia katika nguo ya rangi ya samawati, na kuvifunika kwa ngozi za pomboo,[9] na kuvitia juu ya miti ya kuvichukulia.

Hesabu 4 : 14
14 nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo,[10] na kutia miti yake mahali pake.

Hesabu 4 : 25
25 ⑫ wao watayachukua mapazia ya Hema Takatifu, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;

Ezekieli 16 : 10
10 nikakuvika nguo ya taraza, nikakupa viatu vya ngozi ya pomboo, nikakufunga nguo ya kitani safi kiunoni mwako, nikakufunika kwa hariri.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *