Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Azgad
Ezra 2 : 12
12 Wazawa wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
Nehemia 7 : 17
17 Wana wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili.
Ezra 8 : 12
12 Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi.
Nehemia 10 : 15
15 Buni, Azgadi, Bebai;
Leave a Reply