Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Avith
Mwanzo 36 : 35
35 Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 46
46 Hushamu akafa, naye Hadadi, mwana wa Bedadi, akatawala badala yake, ambaye aliwapiga Midiani katika uwanja wa Moabu; na jina la mji wake ni Avithi.
Leave a Reply