Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Arkipo
Wakolosai 4 : 17
17 ⑭ Mwambieni Arkipo, Iangalie sana huduma ile uliyopewa katika Bwana, ili uitimize.
Filemoni 1 : 2
2 na kwa Afia, dada yetu, na kwa Arkipo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako.
Leave a Reply