Biblia inasema nini kuhusu Ariel – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ariel

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ariel

Ezra 8 : 16
16 Ndipo nikatuma watu kwenda kumwita Eliezeri, na Arieli, na Shemaya, na Elnathani, na Yaribu, na Elnathani, na Nathani, na Zekaria, na Meshulamu, waliokuwa wakuu; na Yoyaribu, na Elnathani pia, waliokuwa waalimu.

Isaya 29 : 2
2 ndipo nitamwudhi Arieli; kutakuwapo maombolezo na kilio; naye atakuwa kwangu kama Arieli.

Isaya 29 : 7
7 Na wingi wa mataifa wapiganao na Arieli, wote wapiganao naye na ngome yake, na wanaomwudhi, watakuwa kama ndoto, na maono ya usiku.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *