Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Archturus, Kundinyota ya
Ayubu 9 : 9
9 Yeye afanyaye hizo nyota za Dubu, na Orioni, na hicho Kilimia, Na makundi ya nyota ya kusini.
Ayubu 38 : 32
32 Je! Waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake? Au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?
Leave a Reply