Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Aradi
Hesabu 21 : 1
1 Na Mkanaani, mfalme wa Aradi, aliyeishi Negebu, akasikia habari ya kuwa Israeli alikuja kwa njia ya Atharimu; basi akapigana na Israeli, akawateka baadhi yao.
Hesabu 33 : 40
40 ③ Ndipo Mkanaani, mfalme wa Aradi, aliyekaa pande za Negebu katika nchi ya Kanaani akasikia habari za kuja kwao wana wa Israeli.
Yoshua 12 : 14
14 mfalme wa Horma, mmoja; na mfalme wa Aradi, mmoja;
1 Mambo ya Nyakati 8 : 15
15 na Zebadia, na Aradi, na Ederi;
Leave a Reply