Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Amitai
2 Wafalme 14 : 25
25 Yeye akaurudisha mpaka wa Israeli toka kuingia kwa Hamathi hata bahari ya Araba, sawasawa na neno la BWANA, Mungu wa Israeli, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Yona mwana wa Amitai, nabii, aliyekuwa wa Gath-heferi.
Yona 1 : 1
1 Basi neno la BWANA lilimjia Yona, mwana wa Amitai, kusema,
Leave a Reply