Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Almond
Yoshua 21 : 18
18 na Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Almoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
1 Mambo ya Nyakati 6 : 60
60 tena katika kabila la Benyamini; Geba pamoja na viunga vyake, na Alemethi pamoja na viunga vyake, na Anathothi pamoja na viunga vyake. Miji yao yote katika jamaa zao ilikuwa miji kumi na mitatu.
Leave a Reply