Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ain
Yoshua 19 : 7
7 Aini, Rimoni, Etheri na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake;
Yoshua 15 : 32
32 Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; miji hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.
Yoshua 21 : 16
16 na Aini, pamoja na mbuga zake za malisho, na Yuta pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho; miji tisa katika makabila hayo mawili.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 32
32 Na vijiji vyao vilikuwa Etamu, na Aini, na Rimoni, na Tokeni, na Ashani, miji mitano,
1 Mambo ya Nyakati 6 : 59
59 na Ashani pamoja na viunga vyake, na Beth-shemeshi pamoja na viunga vyake;
Nehemia 11 : 29
29 na katika Enrimoni, na Sora, na Yarmuthi;
Hesabu 34 : 11
11 ⑳ kisha mpaka utateremka kutoka Shefamu mpaka Ribla, upande wa mashariki wa Aini; kisha mpaka utateremka na kufikia upande wa bahari ya Kinerethi[47] upande wa mashariki;
Leave a Reply