Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ahlai
1 Mambo ya Nyakati 2 : 31
31 Na wana wa Apaimu; Ishi. Na wana wa Ishi; Sheshani. Na wana wa Sheshani; Alai.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 35
35 Basi akamwoza binti yake aolewe na Yarha, mtumwa wake; naye akamzalia Atai.
1 Mambo ya Nyakati 11 : 41
41 ⑱ Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;
Leave a Reply