Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Agripa, Mfalme
Matendo 25 : 26
26 Nami katika habari yake sina neno la hakika la kumwandikia bwana. Kwa hiyo nimemleta hapa mbele yenu, hasa mbele yako wewe, mfalme Agripa, ili akiisha kuhojiwa nipate neno la kuandika.
Leave a Reply