Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Afya
Yeremia 17 : 6
6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
Yeremia 48 : 6
6 Haya! Kimbieni! Jiokoeni nafsi zenu! Mkawe kama mtu aliye mkiwa.
Leave a Reply