Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Adoniya
2 Samweli 3 : 4
4 ⑬ na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;
1 Wafalme 1 : 6
6 Tena baba yake hakumchukiza wakati wowote kwa kusema, Mbona umefanya hivi? Kisha, alikuwa mtu mzuri sana; naye alizaliwa baada ya Absalomu.
1 Mambo ya Nyakati 3 : 2
2 wa tatu, Absalomu, mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, mwana wa Hagithi;
1 Wafalme 2 : 25
25 Mfalme Sulemani akatuma kuwa jambo hilo liwe mkononi mwa Benaya mwana wa Yehoyada: naye akampiga, hata akafa.
Leave a Reply