Biblia inasema nini kuhusu Achsah – Mistari yote ya Biblia kuhusu Achsah

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Achsah

Yoshua 15 : 19
19 Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya upande wa juu, na chemchemi za maji yaupande wa chini.

Waamuzi 1 : 13
13 Naye Othnieli, mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, aliutwaa; basi akamwoza mwanawe Aksa.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 49
49 ⑳ Tena akamzaa Shaafu, babaye Madmana; na Sheva babaye Makbena; na babaye Gibea; naye binti Kalebu alikuwa Aksa.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *