Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Abdon
Waamuzi 12 : 15
15 ⑱ Huyo Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akafa, akazikwa huko Pirathoni katika nchi ya Efraimu, katika nchi ya vilima ya Waamaleki.
Yoshua 21 : 30
30 Tena katika kabila la Asheri, Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, na Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 74
74 na katika kabila la Asheri; Mishali pamoja na viunga vyake, na Abdoni pamoja na viunga vyake;
1 Mambo ya Nyakati 8 : 30
30 na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni, na Suri, na Kishi, na Baali,[5] na Nadabu;
1 Mambo ya Nyakati 9 : 36
36 na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni; na Suri, na Kishi, na Baali, na Meri, na Nadabu;
2 Mambo ya Nyakati 34 : 20
20 ⑮ Mfalme akawaamuru Hilkia, na Ahikamu, mwana wa Shafani, na Abdoni, mwana wa Mika, na Shafani mwandishi, na Asaya, mtumishi wa mfalme, kusema,
2 Wafalme 22 : 12
12 Mfalme akamwamuru Hilkia kuhani, na Ahikamu, mwana wa Shafani, na Akbori, mwana wa Mikaya, na Shafani mwandishi, na Asaya, mtumishi wa mfalme akasema,
Leave a Reply