Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Boazi
Mathayo 1 : 5
5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
Luka 3 : 32
32 ⑬ wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,
1 Wafalme 7 : 21
21 ⑧ Akazisimamisha nguzo ukumbini pa hekalu; akaisimamisha nguzo ya kulia, akaiita jina lake Yakini;[9] akaisimamisha nguzo ya kushoto, akaiita jina lake Boazi.[10]
2 Mambo ya Nyakati 3 : 17
17 Akazisimamisha nguzo hizo mbele ya hekalu, moja upande wa kulia, na ya pili upande wa kushoto; akaliita jina la ile ya kulia Yakini,[9] na jina la ile ya kushoto Boazi.[10]
Leave a Reply