Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tera
Mwanzo 11 : 32
32 Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani.
Yoshua 24 : 2
2 ① Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng’ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.
Luka 3 : 34
34 ⑮ wa Yakobo, wa Isaka, wa Abrahamu, wa Tera, wa Nahori,
Leave a Reply