Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bezer
Kumbukumbu la Torati 4 : 43
43 nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Yoshua 20 : 8
8 Tena ng’ambo ya pili ya Yordani pande za Yeriko upande wa kuelekea mashariki wakaweka Bezeri ulioko nyikani, katika nchi tambarare ya kabila la Reubeni, na Ramothi katika Gileadi katika kabila la Gadi, na Golani katika Bashani katika kabila la Manase.
Yoshua 21 : 36
36 Tena katika kabila la Reubeni, Bezeri pamoja na mbuga zake za malisho, na Yahasa pamoja na mbuga zake za malisho,
1 Mambo ya Nyakati 6 : 78
78 na ng’ambo ya mto wa Yordani huko Yeriko, upande wa mashariki wa Yordani, katika kabila la Reubeni; Bezeri katika nyika pamoja na viunga vyake, na Yahasa pamoja na viunga vyake,
1 Mambo ya Nyakati 7 : 37
37 na Bezeri, na Hodu, na Shama, na Shilsha, na Ithrani, na Beera.
Leave a Reply