Biblia inasema nini kuhusu Beth-Peor – Mistari yote ya Biblia kuhusu Beth-Peor

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beth-Peor

Kumbukumbu la Torati 3 : 29
29 ③ Basi tukakaa katika bonde lililoelekea Beth-peori.

Kumbukumbu la Torati 4 : 46
46 ng’ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri;

Kumbukumbu la Torati 34 : 6
6 Akamzika bondeni, katika nchi ya Moabu, kukabili Beth-peori; lakini hapana mtu ajuaye kaburi lake hata leo.

Yoshua 13 : 20
20 na Beth-peori, na nchi za materemko ya Pisga, na Beth-yeshimothi;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *