Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shedeur
Hesabu 1 : 5
5 Haya ndiyo majina ya wanaume watakaokusaidia; Wa Reubeni; Elisuri mwana wa Shedeuri.
Hesabu 2 : 10
10 ③ Upande wa kusini kutakuwa na bendera ya kambi ya Reubeni kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Reubeni atakuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.
Hesabu 7 : 30
30 Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni;
Hesabu 7 : 35
35 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Elisuri mwana wa Shedeuri.
Hesabu 10 : 18
18 Kisha beramu ya kambi ya Reubeni ikasafiri kwenda mbele kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.
Leave a Reply