Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shebueli
1 Mambo ya Nyakati 23 : 16
16 Wana wa Gershomu; Shebueli mkuu wao.
1 Mambo ya Nyakati 26 : 24
24 ⑲ na Shebueli, mwana wa Gershomu, mwana wa Musa, alikuwa mtunzaji wa hazina zote.
1 Mambo ya Nyakati 24 : 20
20 Na wa wana wa Lawi, waliosalia; wa wana wa Amramu, Shebueli; wa wana wa Shebueli, Yedeya.
1 Mambo ya Nyakati 25 : 4
4 Wa Hemani; wana wa Hemani; Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli, na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti, na Romanti-ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri, Mahaziothi;
1 Mambo ya Nyakati 25 : 20
20 ya kumi na tatu Shebueli, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
Leave a Reply