Biblia inasema nini kuhusu Beth-Nimra – Mistari yote ya Biblia kuhusu Beth-Nimra

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beth-Nimra

Yoshua 13 : 27
27 ⑤ tena katika bonde, Beth-haramu, na Bethnimira, na Sukothi, na Safoni, hiyo iliyosalia ya ufalme wa Sihoni mfalme wa Heshboni, yaani mto wa Yordani na kingo zake, mpaka mwisho wa bahari ya Kinerethi ng’ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki.

Hesabu 32 : 3
3 Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *