Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shammah
Mwanzo 36 : 13
13 Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Mwanzo 36 : 17
17 Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 37
37 Wana wa Reueli; Nahathi, na Zera, na Shama, na Miza.
1 Samweli 16 : 9
9 Ndipo Yese akampitisha Shama. Naye akasema, Wala BWANA hakumchagua huyu.
1 Samweli 17 : 13
13 ① Nao wale wana watatu wa Yese waliokuwa wakubwa walikuwa wamefuatana na Sauli kwenda vitani, na majina ya hao wanawe watatu waliokwenda vitani ni haya, mzaliwa wa kwanza Eliabu, na wa pili wake Abinadabu, na wa tatu Shama.
2 Samweli 13 : 3
3 ⑬ Lakini Amnoni alikuwa na rafiki, jina lake Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi; naye Yonadabu alikuwa mtu mwerevu sana.
2 Samweli 13 : 32
32 Akajibu Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi, akasema, Asidhani bwana wangu ya kwamba wamewaua vijana wote, wana wa mfalme; maana ni Amnoni peke yake aliyekufa; yakini haya yamekusudiwa kwa kinywa chake Absalomu tangu siku ile alipomshika kwa nguvu dada yake, Tamari.
2 Samweli 21 : 21
21 Naye huyo alipowatukana Israeli, ndipo Yonathani, mwana wa Shimei, nduguye Daudi, akamwua.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 13
13 ⑫ na Yese akamzaa Eliabu, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Abinadabu, na wa tatu Shama;
1 Mambo ya Nyakati 20 : 7
7 Naye huyo alipowatukana Israeli, Yonathani, mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamwua.
2 Samweli 23 : 12
12 ila huyo alisimama katikati ya konde lile, akalipigania, akawaua Wafilisti; naye BWANA akafanya wokovu mkuu.
2 Samweli 23 : 25
25 na Shama, Mharodi, na Elika, Mharodi;
1 Mambo ya Nyakati 11 : 27
27 Shama Mharodi, Helesi Mpeloni;
2 Samweli 23 : 33
33 mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari;
Leave a Reply