Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Rehabia
1 Mambo ya Nyakati 23 : 17
17 Na wana wa Eliezeri; Rehabia mkuu wao. Yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine; lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.
1 Mambo ya Nyakati 24 : 21
21 Wa Rehabia; wa wana wa Rehabia, Ishia mkuu wao.
1 Mambo ya Nyakati 26 : 25
25 ⑳ Na nduguze; wa Eliezeri, Rehabia mwanawe, na Ishia mwanawe, na Yoramu mwanawe, na Zikri mwanawe, na Shelomothi mwanawe.
Leave a Reply