Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Pelatiah
1 Mambo ya Nyakati 3 : 21
21 Na wana wa Hanania; Pelatia na Yeshaya; na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.[1]
1 Mambo ya Nyakati 4 : 43
43 Nao wakawaua Waamaleki waliokuwa wamenusurika, wakakaa huko, hata siku hii ya leo.
Nehemia 10 : 22
22 Pelatia, Hanani, Anaya;
Ezekieli 11 : 13
13 ⑰ Ikawa, nilipotoa unabii, Pelatia, mwana wa Benaya, akafa. Ndipo nikaanguka kifudifudi, nikalia kwa sauti kuu, nikasema, Ee Bwana MUNGU, je! Utawakomesha kabisa mabaki ya Israeli?
Leave a Reply