Biblia inasema nini kuhusu Paroshi – Mistari yote ya Biblia kuhusu Paroshi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Paroshi

Ezra 2 : 3
3 wazawa wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.

Ezra 8 : 3
3 wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini.

Ezra 10 : 25
25 ⑰ Na wa Israeli; wa wazawa wa Paroshi; Ramia, na Izia, na Malkiya, na Miyamini, na Eleazari, na Malkiya, na Benaya.

Nehemia 7 : 8
8 Wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.

Nehemia 10 : 14
14 Na viongozi wa watu; Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *