Biblia inasema nini kuhusu Nashon – Mistari yote ya Biblia kuhusu Nashon

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Nashon

Kutoka 6 : 23
23 Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.

Hesabu 1 : 7
7 Wa Yuda; Nashoni mwana wa Aminadabu.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 10
10 ⑩ Na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa wana wa Yuda;

Hesabu 2 : 3
3 Na hao watakaopanga upande wa mashariki, kwa kuelekea maawio ya jua, ndio wale wa bendera ya kambi ya Yuda, kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Yuda atakuwa Nashoni mwana wa Aminadabu.

Hesabu 10 : 14
14 Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 10
10 ⑩ Na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa wana wa Yuda;

Hesabu 7 : 12
12 Basi aliyetoa matoleo yake siku ya kwanza ni Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda;

Hesabu 7 : 17
17 na kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja hayo ndiyo matoleo ya Nashoni mwana wa Aminadabu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *