Biblia inasema nini kuhusu Barua – Mistari yote ya Biblia kuhusu Barua

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Barua

Esta 3 : 13
13 ③ Barua zikapelekwa kwa mikono ya matarishi mpaka mikoani yote ya mfalme kuwaangamiza Wayahudi wote, na kuwaua, na kuwafisha, vijana kwa wazee, watoto wachanga na wanawake pia, siku moja, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili ndio mwezi wa Adari; na kuyapora mali yao.

Esta 8 : 10
10 Akaandika kwa jina la mfalme Ahasuero, na kutia mhuri kwa pete ya mfalme, barua zikapelekwa na matarishi, wamepanda farasi, wamepanda wanyama wepesi sana waliotumika kwa huduma ya mfalme, ndio waliozalishwa katika zizi la mfalme.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *