Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Matumbawe
Ayubu 28 : 18
18 Havitatajwa fedhaluka wala bilauri; Naam, kima cha hekima chapita marijani.
Ezekieli 27 : 16
16 Shamu alikuwa mfanya biashara kwako, kwa sababu ya wingi wa kazi za mkono wako walifanya biashara kwa zumaridi, urujuani, kazi ya taraza, kitani safi, marijani na akiki, wapate vitu vyako vilivyouzwa.
Leave a Reply