Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Baalathi
Yoshua 19 : 44
44 Elteka, Gibethoni, Baalathi;
1 Wafalme 9 : 18
18 na Baalathi, na Tamari ulio nyikani, katika nchi;
2 Mambo ya Nyakati 8 : 6
6 na Baalathi, na miji yote ya hazina Sulemani aliyokuwa nayo, na miji yote ya magari yake, na miji ya wapanda farasi wake, na ya anasa yote aliyopenda Sulemani kujenga humo Yerusalemu, na katika Lebanoni, na katika nchi yote ya mamlaka yake.
Leave a Reply