Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Maombolezo
Zaburi 60 : 3
3 Umewaonesha watu wako mazito, Na kutunywesha mvinyo ya kutuyumbisha.
Ezekieli 19 : 14
14 Na moto umetoka katika vijiti vya matawi yake, umekula matunda yake, hata hana tena kijiti cha nguvu kifaacho kwa fimbo ya enzi ya kutawala. Na hayo ni maombolezo, nayo yatakuwa maombolezo.
Leave a Reply