Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Azmoni
Hesabu 34 : 5
5 ⑰ kisha mpaka utageuka kutoka Azmoni kwendelea kijito cha Misri, na kutokea kwake kutakuwa hapo baharini.
Yoshua 15 : 4
4 kisha ukaendelea hadi Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na mwisho wa mpaka huo ulikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.
Leave a Reply